USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa. Tulikaa kwenye hoteli maarufu Palace Hotel, tukapanga kila kitu kwa kina, na kuandika yote kwenye notebook ambayo bado ninayo hadi leo. Tulianza hatua za awali: kutafuta takwimu za idadi…

Kama Ungefanya Uamuzi Huu Mwaka 2020, Leo Ungekuwa Milionea

Kama Ungefanya Uamuzi Huu Mwaka 2020, Leo Ungekuwa Milionea

Mwaka 2020 ulikuwa wa changamoto nyingi, lakini pia ulikuwa na fursa nyingi sana kwa wale waliokuwa tayari kuchukua hatua. Wengi wetu tulikuwa tunahangaika na hofu, hatari, na kutokujua mustakabali, ila wapo waliothubutu kufanya maamuzi madogo yaliyowaletea matokeo makubwa miaka michache baadaye. Leo nataka tukumbuke mfano rahisi wa uwekezaji ambao ulionekana mdogo, lakini ulikuwa na nguvu…

Unataka Watu Wakusaidie? Hii Ndiyo Siri Wanayokuficha…

Unataka Watu Wakusaidie? Hii Ndiyo Siri Wanayokuficha…

Mara nyingi tumefundishwa maneno haya: “Hakikisha unazungukwa na watu ambao siku ukiwa na shida ya milioni moja, ukipiga simu moja tu uwe umeipata.”Ni kweli kabisa, kuwa na mtandao wa watu wenye msaada ni jambo muhimu. Lakini kuna jambo ambalo hatufundishwi mara nyingi — kuwa mtu wa thamani kwa hao watu tunaowazunguka. Kwa nini hili ni…

MAMBO 10 UNAYOFANYA KILA SIKU YASIYO NA MSAADA WOWOTE KWENYE MAISHA YAKO

MAMBO 10 UNAYOFANYA KILA SIKU YASIYO NA MSAADA WOWOTE KWENYE MAISHA YAKO

Katika maisha, kila mtu ana saa 24 kwa siku, lakini tofauti ya mafanikio kati ya watu hutegemea jinsi wanavyotumia muda wao. Kuna mambo mengi tunayoyafanya kila siku ambayo hayana msaada wowote kwenye maendeleo yetu ya kiuchumi, kielimu, na hata kiafya. Hapa nakuletea mambo 10 ambayo huenda unayafanya kila siku lakini hayakusaidii chochote—na mbadala wake utakaoleta…

539: Ondoka Duniani Ukiwa Mtupu.

539: Ondoka Duniani Ukiwa Mtupu.

Ukishakufa ubongo wako unaoza na kila kumbukumbu iliyokuwepo humo inapotea. Chochote ulichotaka kufanya kinapotea. Chochote ambacho hukukitoa nje hakitokaa kionekane tena. Dunia itakusahau kama uliwahi kuwepo. Kule unapokwenda inawezekana ukakutana na adhabu kali sana kwasababu uliondoka hapa duniani bila kufanyia kazi kile Mungu aliweka ndani yako. Kile kilichopo ndani yako unaweza kukitoa kwa njia kuu…

538; Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Kila Wakati.

538; Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Kila Wakati.

Habari Rafiki, Ni muda mrefu umepita bila kunisikia kwenye uwanja huu wa Makala. Ninayofuraha kukwambia leo niandaa Makala bora sana kwa ajili yako. Kinachowafanya watu waendelee kufanikiwa kwenye Maisha yao na kuwa na furaha ni pale wanapoweza kuwa bora kila wakati. Mfano kampuni ya simu ili iweze kuendelea kuuza bidhaa zake ni lazima iwe inatoa…

537; Ingia Ndani Zaidi..

537; Ingia Ndani Zaidi..

Watanzania wengi ni wavivu sana kusoma, kabla hujaamini picha ya kichwa cha habari inayosambazwa jaribu kutafuta habari nzima uisome na uelewe. Vichwa vingi vya habari huandikwa kwa namna ya kuvuta wasomaji na bahati mbaya sana wengi wenu huishia kusoma kichwa tu na kufikia hitimisho. Usiwe mwepesi pia kuamini kila kilichoandikwa kwasababu kwenye ulimwengu wa sasa…

536: Huwezi Kuwaridhisha.

536: Huwezi Kuwaridhisha.

Watu wanaweza kukuchukia pasipo na sababu yoyote ya msingi. Inawezekana hata hujawahi kuwasemesha lakini wakakuchukia. Inawezekana hujawawahi kuwatendea jambo lolote lile baya au la kuudhi lakini wakakuchukia tu. Unapaswa tu kutambua kwamba hata ufanye mambo mema kiasi gani hapa duniani huwezi kupendwa na kila mtu. Huwezi kumridhisha kila mtu. Unaweza kuzungumza sentensi moja ikamsaidia mtu…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓